- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China: Hatua za Kubana Uhuru wa Habari Majimboni

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari

Jing Gao kutoka blogu ya Tofu anaeleza namna serikali ya Fuji ilivyo na mikakati michafu dhidi ya Yunnan na jinsi inavyochukua hatua za kuzuia uchapishaji wa habari zinazoweka wazi kashfa za ufisadi zinazomkabili afisa mmoja wa serikali.