- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Afrika: Tuzo la Mbuyu wa Dhahabu

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ghana, Fasihi, Uandishi wa Habari za Kiraia

Wasilisha kisa chako [1] upate fursa kushinda Tuzo ya Mbuyu wa Dhahabu: “Tuzo ya Mbuyu wa Dhahabu ilianzishwa mwaka 2008 kuwahamasisha waandishi wa ki-Afarika waliojikita katika vitabu vya watoto na vijana.”