- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Serikali ya Kolumbia Yapanga Kufanya Mazungumzo na Waasi wa FARC

Mada za Habari: Amerika Kusini, Colombia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vita na Migogoro

Katika blogu ya Crónicas, Santos García Zapata anaeleza muktadha [1] [es] kuhusu uamuzi wa Rais wa kuanzisha mazungumzo ya amani [2] na makundi ya waasi. Kongresi ya ‘Kamisheni ya Amani’ imetangaza kwamba Rais Santos “hayupo peke yake” katika dhamira yake ya kupatikana kwa amani.