Usanii Afrika [1] blogu inayoonyesha usanii wa kisasa wa ki-Afrika: Usanii Afrika ni blogu iliyozaliwa kutokana na upenzi. Akiwa amezaliwa na kipaji cha ubunifu yeye mwenyewe, mwanablogu, Kirsty Macdonald amekuwa na mahusiano ya karibu na masuala ya sanaa na kujieleza”
Afrika: Usanii wa Kisasa wa ki-Afrika Mtandaoni
· Imeandikwa na Ndesanjo Macha Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia