Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

26 Julai 2012

Habari kutoka 26 Julai 2012

Tamko la Uhuru wa Mtandao wa Intaneti

GV Utetezi

Hivi karibuni, makundi kadhaa yameungana pamoja kutengeneza Tamko la Uhuru wa Mtandaoni. Mpaka sasa, Tamko hilo limesainiwa na mashirika na kampuni zipatazo 1300 na bado...