- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Marekani: Kumbukumbu la Walters Art lachapisha Mkusanyiko wa Picha

Mada za Habari: Marekani ya Kaskazini, Marekani, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia

Jumba la Kumbukumbu la The Walters Art [1] lililoko Baltimore, Maryland limechapisha [2] zaidi ya picha elfu kumi na tisa [3] kwenye mkusanyiko wa Wikimedia Commons na kuziweka chini ya leseni Creative-Commons. Jumba lenyewe lina mkusanyiko wa michoro kutoka Roma na Ulaya.