- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kitabu kipya cha michezo ya watoto kutoka nchi mbalimbali

Mada za Habari: Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vichekesho, Vijana

Blogu changamfu la Kimataifa, PocketCultures [1] limechapisha limechapisha kitabu kuhusu michezo kumi na tano ya watoto kutoka nchi mbalimbali na amabayo inaweza kuchezwa kwa urahisi na msomaji. Kitabu kinaitwa ‘Games for Kids of the World’ [2] na kinaweza kupatikana kwa bure kwenye iPad, Mac au kwenye kompyuta.