- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Ripoti ya UNESCO kuhusu vyombo vya habari vya Singapore

Mada za Habari: Asia Mashariki, Singapore, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

Repoti [1] ya Unesco inaonesha ‘udhibiti wa hali juu’ wa vyombo vikuu vya habari nchini Singapore huku ikizitambua blogu na tovuti za vyombo vyauanahabari mpya [2] kuwa vinatoa “mazungumzo makini mbadala juu ya masuala muhimu ya kisiasa na jamii kama vile siasa za ndani ya nchi, haki za mashoga na wazee.”