- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Nepal: Mwanzo wa Mapinduzi ya Facebook?

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Nepali, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Pradeep Kumar Singh anaweka picha na habari [1] za kampeni ya hivi karibu ni ya Facebook iliyopewa jina la “Jitokeze. Simama. Ongea. Vinginevyo, kaa kimya. Takriban vijana 400 wa Nepali walijitokeza sehemu ya Maitighar Mandala tarehe 8 Mei, 2011 na kudai katiba mpya.