- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Naijeria: Gavana wa Kinaijeria Kwenye Twita

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Siasa, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia

Gavana wa Kinaijeria Kayode Fayemi yumo kwenye Twita, mwanablogu wa Naijeria Lord Banks anaripoti [1].