Makala hii ni sehemu ya habari maalumu za Tetemeko la Japani 2011.

Picha kutoka Machi 11 iliyotumwa na @mitsu_1024 (kupitia wikitree.co.kr)
Siku ya Ijumaa, Machi 11, 2011 saa 8:46:23 mchana saa za Japani, tetemeko lenye vipimo vya tetemeko 8.9 liliikumba Japani, lilikiwa kubwa kuwahi kuripotiwa katika historia ya Japani.
Zifuatazo ni nyenzo zilizo kwenye mtandao ambazo watu wanazitumia ili kuwasiliana na wenzao:
- Nyenzo ya kusaidia kumtafuta mtu kutoka Google
- Ukurasa wa Facebook ili kutumiana taarifa
- Gigazine walikuwa na makala [ja] ya kijapani yenye picha zinazofundisha namna ya kutumia huduma ya ujumbe mfupi wakati wa dharura ambayo iliwekwa na makampuni ya simu za mkononi.
Alama za twita zinazotumiwa na watumiaji wa twita nchini Japani ni #sendai na #jishin. #prayforjapan inatumiwa kutuma maombi kwa lugha ya kiingereza katika mtandao wa Twita.
Watu wengi katika Twita wanajaribu kutulia na kutumiana ushauri, hasa kuhusiana na uzoefu uliotokana na tetemeko Kuu la Hanshin ama lile la Chuetsu.
【拡散希望】電気屋さんからの忠告!です。 ただ今地震で停電している地帯の方はブレーカーを全て落として下さい。通電されたら小さなブレーカーを一つづつ入れて下さい。漏電ブレーカーが落ちるようでしたら、無理に入れず、電気事業者等に連絡をとって下さい。漏電による火災を防ぎましょう。
@take23asn 【タンスの下敷きになった人を助ける方法】タンスが頑丈なのは全面と上部、側面だけ。背の面は薄い板でできている。その薄い板を蹴破り、そこからすべての引き出しを抜き取る。そうすれば簡単にタンスを解体できる。
【 緊急 】 手話が必要な方に教えて上げてください。「目で聴くテレビ」でNHKのニュースに手話をつけて放送中。このURLから「緊急災害放送」をクリックしてください。 http://t.co/KQPhc1r #jishin #NHK
FMわぃわぃは多言語で地震・災害情報を放送中。インターネットでも聴けます。http://bit.ly/eaV16I%20 在日外国人の皆さんに伝えてください。 #saigai#eqjp #earthquake
iPhoneの電池を少しでも長持ちさせる方法。
1.wifiを切る
2.位置情報サービスを切る
3.通知サービスを切る
4.Bluetoothを切る
5.画面の明るさを一番暗くする
6.余計なアプリを切る
@Tranquil_Dragon wa Sendai, wa wilaya ya Miyagi alituma picha hii:
@wanchan11 aliweka picha ya mafuriko ya bandari ya Sendai:
Baadhi ya video kutoka Tokyo:
http://www.youtube.com/watch?v=ry7wzJpqwpo
Shukrani nyingi kwa Timu ya GV Japan kwa kuwa pamoja wakati wa tetemeko waliohusika na maandalizi ya makala hii.
Makala hii ni sehemu ya habari maalumu za Tetemeko la Japani 2011.