- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Naijeria: Maonesho ya Picha za Kampeni ya Urais

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Upiga Picha

George Esiri alifuatilia kampeni za kugombea urais za chama cha PDP huko Naijeria. Maonesho ya picha alizopiga [1]yalizinduliwa jana katika Kituo cha Yar'Adua.