- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Côte d'Ivoire: Televisheni ya Taifa RTI Inawezekana kuwa Inatangaza Kutokea Kwenye Gari la Matangazo

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Cote d'Ivoire, Habari za Hivi Punde, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vita na Migogoro, Vyombo na Uandishi wa Habari

Kama vile alivyoelezea Julie Owono [1], ni vigumu kupembua mapambano ya kudhibiti vyombo vya habari vya Pwani ya Pembe (Cote d'Ivoire). Taarifa kutoka Waandishi Wasio na Mipaka inaashiria kuwa RTI inaweza ikawa inatangaza kutokea kwenye gari [2] lililoegeshwa kwenye nyumba ya mtu binafsi (fr).