Habari kutoka 2 Februari 2011
Misri: Wanawake Wanaoandamana Waenziwa Kwenye Mtandao
Nafasi ya wanawake katika upinzani dhidi ya serikali unaoendelea nchini Misri imenasa macho ya wanablogu na raia wanaoeneza habari kwenye tovuti za mitandao ya kijamii.
Misri: El Baradei – Rafiki au Adui wa Waandamanaji?
Kiongozi wa upinzani nchini Misri Dr Mohamed El Baradei alifanya ziara fupi kwa maelfu ya waandamanaji wanaompinga Mubarak, walioweka kambi kwenye viwanja vya Tahrir jijini Cairo, dakika chache zilizopita. Maoni kutoka Twita yanafuata.