- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Misri: Habari Za Maandamano Ya Upinzani Moja Kwa Moja Kwenye Facebook

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia

Habari za maandamano ya upinzani ya Januari 25 ya vuguvugu la la Vijana wa Aprili 6 zinapatikana kwenye ukurasa huu [1] wa Facebook (Ar). Taarifa zimeibuka leo kuwa Facebook ilikuwa imezuiliwa isipatikane nchini Misri.