- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kura ya Maoni ya Sudani Kusini 2011

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Sudani Kusini, Uandishi wa Habari za Kiraia
Kupiga kura katika Darfur Kaskazini. Albert Gonzalez Farran, Demotix (15/11/10). [1]

Kupiga kura katika Darfur Kaskazini. Albert Gonzalez Farran, Demotix (15/11/10).

Yaliyomo

Sudani Kusini ilianza kupiga kura ya maoni [8] mnamo tarehe 9 Januari, 2011 ili kuamua kama waendelee kuwa sehemu ya Sudan [9]kama sehemu ya Makubaliano ya Jumla ya Amani yaliyofanyika mwaka 2005 kati ya Serikali kuu ya Khartoum na Chama cha Sudan Peoples’s Liberation Movement, au la. . Wakati huo huo, kura nyingine ya Maoni itaendeshwa mjini Abyei [10] kuamua kama itakuwa sehemu ya Sudani Kusini.

Sudani Kusini [8] (inayojulikana rasmi kama Serikali ya Sudani ya Kusini) ni sehemu inayojitegemea ya Sudani. Juba [8] ni mji wake mkuu. Imepakana na Ethiopia kwa mashariki, Kenya, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kw aupande wa kusini, na Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa magharibi.

Tafadhali wasiliana na Ndesanjo Macha [11], mhariri wetu wa Afrika ya Kusini mwa jangwa la Sahara kama unayo maoni au ushauri.


[15]
[16]

How ‘Yasuke’ offers a new perspective on the history and current relations of Africans in Japan [16]

12 Julai 2021
[17]

Netflix’s new series on Yasuke, the African samurai, is a new dawn for Black characters in animation [17]

21 Mei 2021

Habari zilizochaguliwa za Global Voices

Nyuma yaliyomo [18]

19 Jan – Sudani: Kura ya maoni Sudani Kusini: Afrika (Isiyo) Moja? [19]
12 Jan – Sudani: Sura zenye tabasamu na vidole vyenye wino [20]
10 Jan – Sudani: Kura ya Maoni Sudani Kusini katika Picha [21]
09 Jan – Sudani: Kura ya Maoni Sudani Kusini Kwenye Twita [22]
09 Jan – Ulimwengu wa Kiarabu: Machozi Yamwagika Wakati wa Kuvunjika kwa Sudani [23]
09 Jan - Ulimwengu wa Kiarabu: “Acheni Kulia Kuhusu Suala la Sudani” [24]
08 Jan - Sudani: Sudani Kaskazini Si “Afrika” pungufu Zaidi ya Sudani Kusini [25]
03 Jan – Sudani: Siku chache kuelekea Kura ya maamuzi ya Sudani Kusini [26]
31 Dec – Sudani: Teknolojia ya Juu Haichukui Nafasi ya Watu wa Kawaida [27]
27 Dec – : Rais Atangaza Kusini itatawaliwa na Sharia ya Kiislamu kama Kusini Itajitenga [28]
22 Dec – Sikukuu njema na Kura ya maoni ya Amani [29]
08 Nov – Sudan: Je, Afrika itazaa Taifa Jipya [30]

Rasilimali

Nyuma yaliyomo [18]

Tovuti

Twitter

Hashtags: #SudanRef [39] | #SouthSudan [40]

Facebook

Videos

Nyuma yaliyomo [18]