Yaliyomo
Sudani Kusini ilianza kupiga kura ya maoni mnamo tarehe 9 Januari, 2011 ili kuamua kama waendelee kuwa sehemu ya Sudan kama sehemu ya Makubaliano ya Jumla ya Amani yaliyofanyika mwaka 2005 kati ya Serikali kuu ya Khartoum na Chama cha Sudan Peoples’s Liberation Movement, au la. . Wakati huo huo, kura nyingine ya Maoni itaendeshwa mjini Abyei kuamua kama itakuwa sehemu ya Sudani Kusini.
Sudani Kusini (inayojulikana rasmi kama Serikali ya Sudani ya Kusini) ni sehemu inayojitegemea ya Sudani. Juba ni mji wake mkuu. Imepakana na Ethiopia kwa mashariki, Kenya, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kw aupande wa kusini, na Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa magharibi.
Tafadhali wasiliana na Ndesanjo Macha, mhariri wetu wa Afrika ya Kusini mwa jangwa la Sahara kama unayo maoni au ushauri.
Habari zilizochaguliwa za Global Voices
19 Jan – Sudani: Kura ya maoni Sudani Kusini: Afrika (Isiyo) Moja?
12 Jan – Sudani: Sura zenye tabasamu na vidole vyenye wino
10 Jan – Sudani: Kura ya Maoni Sudani Kusini katika Picha
09 Jan – Sudani: Kura ya Maoni Sudani Kusini Kwenye Twita
09 Jan – Ulimwengu wa Kiarabu: Machozi Yamwagika Wakati wa Kuvunjika kwa Sudani
09 Jan - Ulimwengu wa Kiarabu: “Acheni Kulia Kuhusu Suala la Sudani”
08 Jan - Sudani: Sudani Kaskazini Si “Afrika” pungufu Zaidi ya Sudani Kusini
03 Jan – Sudani: Siku chache kuelekea Kura ya maamuzi ya Sudani Kusini
31 Dec – Sudani: Teknolojia ya Juu Haichukui Nafasi ya Watu wa Kawaida
27 Dec – : Rais Atangaza Kusini itatawaliwa na Sharia ya Kiislamu kama Kusini Itajitenga
22 Dec – Sikukuu njema na Kura ya maoni ya Amani
08 Nov – Sudan: Je, Afrika itazaa Taifa Jipya
Rasilimali
Tovuti
- Sudan Yaamua
- Okoa Darfur
- Blogu ya Okoa Darfur
- Mradi wa Sasa Basi
- taifa la Sudani Kusini
- Mwangalizi Sudani
- Sudan Yapiga kura
- Pia, kutoka kwenye uchaguzi mkuu uliopita, mradi huu ulichapwa kwenye Teknolojia kwa Ajili ya Uwazi mnamo mwezi wa Nne: Ungalizi wa Kura huko Sudani
Hashtags: #SudanRef | #SouthSudan
- Wasudani Kusini waishio Ughaibuni kwa Kura ya Maoni 2011
- Wasudani Kusini kwa Kura ya Maoni Januari 2011
1 maoni