Kura ya maoni kwa ajili ya uhuru wa Sudani ya Kusini leo imeiweka nchi hiyo kwenye uangalizi wa karibu miongoni mwa watumiaji wa twita wa Kiarabu. Kuanzia Saudia mpaka Palestina, watumiaji Twita wa Kiarabu wanajadiliana kuhusu mshikamano, kugawanyika na rasili mali za Sudani.
Kura hii ya maoni ni sehemu ya Makubaliano ya Naivasha yaliyofanyika mwaka 2005 baina ya serikali kuu ya Khartoum na Chama cha SPLA (Sudan People’s Liberation Army) na inaweza kusababisha kumeguka kwa Sudani ya Kusini kutoka kwenye nchi ya Sudani ya leo.
Kutoka Saudi Arabia, Omar ALattas anauliza:
Na anahitimisha:
#sudan اليوم ستصبح الجزائر أكبر دولة عربية عوضا عن السودان بلد المليون ميل
Bader Aujan, kutoka Saudi Arabia pia, ana mtazamo chanya kuhusu mustakabali (wa Sudani):
Halafu anaongeza:
Ujerumani ni mfano mzuri wa namna nchi zilizowahi kujitenga siku moja zilikuja kuungana tena kwa amani. #Sudan haiwezi kuwa tofauti katika hili!
Na Mohamed Osman, ambaye pia anatuma habari kwa njia ya Twita kutoka Saudi Arabia,, anawasihi wasomaji wake:
Mpalestina Bahaa AlKayyali anaombea umoja wa Sudani
Wakati kutoka Jordani, Ali Dahmash anaonesha Rasilimali zenye utajiri za Sudani:
Hivi mnafahamu kwamba asilimia 70 ya uzalishaji wa Mafuta ya Sudani yako kusini? Si ajabu John Kerry & wanasiasa wa Kimarekani wanaunga mkono utengano!
Na huko huko Saudi Arabia, Bandar Bin Naif, anajiuliza: