- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Urusi: Habari ya Putin-Berlusconi Kwenye WikiLeaks

Mada za Habari: Marekani ya Kaskazini, Ulaya Magharibi, Ulaya Mashariki na Kati, Italia, Marekani, Urusi, Haki za Binadamu, Mahusiano ya Kimataifa, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari

Kwenye The Daily Beast, Julia Ioffe anatoa maoni [1] juu ya masuala yaliyowekwa wazi katika Wikileaks kuhusu uhusiano kati ya Waziri Mkuu wa Urusi na mwenzake wa Italia Silvio Berlusconi.