- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Ivory Coast: Wimbo Mpya Kwa Ajili Ya Uchaguzi wa Rais

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Cote d'Ivoire, Muziki, Sanaa na Utamaduni, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi

Museke imeweka video [1]ya wimbo mpya “Mpiga Kura” ulioandikwa maalum kwa ajili ya uchaguzi wa rais nchini Ivory coast. Wimbo huo unachezwa na Le Griot-GuĂ©re, Jackivoire, Soro Solo, na gitaa la kuongoza linapigwa na mpiga gitaa gwiji kutoka Kongo, Huit-kilos.