- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Haiti: Kuokoa Maisha

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Haiti, Afya, Dini, Majanga, Mwitikio wa Kihisani, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vijana

“Idadi ya wagonjwa waliotibiwa katika siku 10 zilizopita ni 227″: matumaini ya kweli kwa haiti [1] wanaeleza uzoefu wao wakati wanasaidia kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.