- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Zambia: Furaha ya kufanya Kazi na jamii za Vijijini Huko Zambia

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Zambia, Maendeleo, Uandishi wa Habari za Kiraia

Rakesh Katal anaeleza [1] furaha na changamoto za kufanya kazi na jamii za huko Zambia vijijini.