- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

India: Marufuku Kutuma Ujumbe wa Simu za Mkononi wa Jumla

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Sheria, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Rajesh Jain kwenye Emergic analaumu [1] kupigwa marufuku utumaji wa jumla wa ujumbe wa simu za mkononi pamoja na ujumbe wa media-anuai ili kuzuia uhamasishaji umma kabla na baada ya hukumu ya Ayodhya.