Habari kutoka 26 Septemba 2010
India: Marufuku Kutuma Ujumbe wa Simu za Mkononi wa Jumla
Rajesh Jain kwenye Emergic analaumu kupigwa marufuku utumaji wa jumla wa ujumbe wa simu za mkononi pamoja na ujumbe wa media-anuai ili kuzuia uhamasishaji umma kabla na baada ya hukumu ya Ayodhya.
Colombia: maoni ya Awali Kuhusu Kifo cha Kiongozi wa FARC ‘Mono Jojoy’
Víctor Julio Suárez, ambaye anajulikana zaidi kama Jorge Briceño or Mono Jojoy, mmoja wa viongozi wa juu wa Majeshi ya Ukombozi wa Colombia (FARC), aliuwawa katika kile kilichoitwa "Operesheni Sodoma." Watumiaji wa Twita wa Colombia walianza mara moja kuandika maoni yao kuhusu habari hiyo.