- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jamaica: Dansi!

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Jamaica, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia

Tallawah [1] ametuma picha kutoka katika muhula wa 2010 wa Kikundi cha Taifa cha Dansi cha Jamaica.