17 Agosti 2010

Habari kutoka 17 Agosti 2010

Jamaica: Dansi!

Tallawah ametuma picha kutoka katika muhula wa 2010 wa Kikundi cha Taifa cha Dansi cha Jamaica.

China: Pato la Taifa Linaongezeka, Matumizi Katika Huduma za Jamii je?

Tunaendelea kusikia kuwa uchumi wa China unaendelea kukua; je matumizi ya huduma za jamii yameongezeka? Akiba binafsi zinabaki kwenye benki, anaandika mwanablogu mmoja: kutokea hospitali...