- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Nigeria: Nigerian President on Facebook

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Siasa, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia

David Ajao anajadili Ukurasa wa Facebook wa rais wa Naijeria [1]: “Kwa kupitia ukurasa wa Facebook uliofunguliwa tarehe 28 Juni 2010, amekuwa akieleza imani yake katika Naijeria na ndoto yake ya Naijeria.”