- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Afrika Kusini: Kandanda Ili Kupinga Ubaguzi

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Afrika Kusini, Uganda, Michezo, Uandishi wa Habari za Kiraia, Ubaguzi wa Rangi

mahojiano mafupi ya video [1] kuhusu mashindano yaliyoandaliwa na timu ya mpira wa miguu ya Refugee VI soccer ynakusudia kuelimisha umma juu ya suala la ubaguzi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.