- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Lebanoni: Wafanyakazi wa Ndani Wanaotoroka

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Lebanon, Habari za Wafanyakazi, Haki za Binadamu, Mahusiano ya Kimataifa, Sheria, Ubaguzi wa Rangi, Uhamiaji na Uhamaji, Wanawake na Jinsia

“Mfanyakazi wa ndani anapotoroka kutoka kwenye nyumba ya mwajiri wake, kituo cha polisi hakiwezi kufanya lolote kwa sababu hakuna sheria dhidi ya wafanyakazi wa ndani wanaotoroka. Kwa hiyo ofisa wa kituo cha polisi anamwambia mwajiri wa ki-Lebanoni aseme kuwa (mtoro huyo) aliiba pesa,” anaandika Ethiopian Suicides [1].