Kampeni kabambe ya Rais wa Sri Lanka aliye madarakani, Mahinda Rajapakshe inajumuisha manunuzi ya nafasi za matangazo katika tovuti mashuhuri za vyombo vya habari duniani. Groundviews anahoji [1] sababu ya kuvilipa vyombo vya habari vya kimataifa kwa ajili ya uchaguzi wa ndani ya nchi.
Sri Lanka: Kulipia Vyombo Vya Kimataifa Vya Habari kwa Ajili ya Uchaguzi wa Ndani
· Imeandikwa na Rezwan Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza
Mada za Habari: Asia ya Kusini, Sri Lanka, Siasa, Uchaguzi, Utawala