- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Naijeria: Uzoma Okere ashinda kesi dhidi ya jeshi

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Mwitikio wa Kihisani, Sheria

Nigerian curiosity anaandika kuhusu kesi ya Uzoma Okere [1] huko Naijeria: “Uzoma Okere ni msichana wa Kinaijeria ambaye kipigo alichopata kutoka kwa maafisa wa jeshi kiliondokea kuwa video iliyosambazwa sana na kuamsha hasira za wengi.”