- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Lebanoni: Matukio ya Wafanyakazi Kujiua ‘Yanadharauliwa’

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Lebanon, Habari za Wafanyakazi

Matthew Cassel anaripoti tukio la kujia la Theresa Seda, mfanyakazi wa ndani wa Kifilipino jijini Beirut. Soma habari za kina za kutisha za jinsi vifo vya namna hiyo vinavyoongezeka kwa idadi – vinaendelea kutotiliwa maanani kwenye Justimage [1].