- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kenya: Kiswahili Kuwa Somo La Kuchagua

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Elimu, Lugha

Bunmi anaandika kuhusu uamuzi wa kulifanya somo la Kiswahili kuwa la kuchagua nchini Kenya [1]: “Somo hili halitakuwa tena na mtihani wa lazima katika mtihani wa taifa wa darasa la nane…”