- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Haiti: Kituo Cha Habari Chazinduliwa Kwa Ajili Ya Uanahabari wa Haiti

Mada za Habari: Marekani ya Kaskazini, Nchi za Caribiani, Haiti, Kanada, Habari za Hivi Punde, Maendeleo, Mahusiano ya Kimataifa, Majanga, Mawazo, Mwitikio wa Kihisani, Teknolojia, Vyombo na Uandishi wa Habari

RĂ©seau Citadelle anatangaza [1] kuzinduliwa kwa Kituo Cha Habari, mradi unaotoka kwa Wanahabari Wasio Na Mipaka pamoja na Quebecor, wenye lengo la kuwezesha kazi za wanahabari wa ndani na wa nje ambao wako nchini Haiti, na pia kuunda ubia kati ya Asasi Zisizo za Kiserikali na Vyombo vya Habari.