- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Ethiopia: Adhabu ya Kifo Ili Kuwatisha Waethiopia

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ethiopia, Haki za Binadamu, Sheria, Siasa

Berhanu Nega, mmoja kati ya watu waliohukumiwa kifo na mahakama ya Ethiopia anasema hashangazwi na adhabu ya kifo [1].