- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Eritrea: Utawala Ulio Madarakani Uondelewe Haraka

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Eritrea, Haki za Binadamu, Siasa, Utawala

Kwa mujibu wa Mohammed Hagos, mradi wa demokrasi katika Eritrea [1] unapaswa uanze kwa kuuondoa madarakani utawala uliopo sasa: “Kikwazo kinachowazuia watu wa Eritrea kujieleza ni utawala wa Issayas. Njia ya kuelekea demokrasia kwa hiyo inaanza na kuuondoa utawala wa Issayas haraka iwezekanavyo…”