- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Angola: Kombe La Mataifa ya Afrika Moja Kwa Moja Kwenye Mtandao

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Angola, Michezo

Pata habari za Kombe la Mataifa ya Afrika [1] yanayofanyika nchini Angola moja kwa moja: “Kwa wale ambao wangependa kuangalia Kombe la Mataifa ya Afrika 2010 kwenye mtandao, kutakuwa na tovuti za michezo zinazotoa mtiririko wa mapambano ya mpira moja kwa moja mtandaoni, bure.”