- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Afrika: Matangazo ya “AdWords” Katika Afrika

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Teknolojia, Uchumi na Biashara

Miquel anajadili matangazo ya Google AdWords katika Afrika [1]: “Wakati ingelikuwa ni njia nzuri sana kwa wanablogu wa Kiafrika kupata pesa kidogo ili kulipia gharama za intaneti, Google haitoi chaguo la malipo kwa nchi yoyote ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.”