Habari kutoka 2 Januari 2010
China: Adhabu ya Kifo kwa Akmal, ni Tendo la Kufuta Aibu ya Zamani
Akmal Shaikh, raia wa Uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini China, aliuwawa siku ya Jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya Uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai...
Sisi ni Sauti za Dunia: Miaka Mitano Baadaye
Wakati Global Voices ikisherehekea miaka mitano ya uhai wake, mwanzilishi mwenza Rebecca MacKinnon anatazama ni umbali gani tuliotoka - na umbali gani tunaotaka kuufikia.