- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Zimbabwe: Uchumi Unapinda Kona Nzuri?

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Zimbabwe, Siasa, Uchumi na Biashara

Je, uchumi wa Zimbabwe unapiga kona kuelekea sehemu nzuri? anauliza mwanablogu wa Ghana [1], Abi.