Sudanese Drima [1] ni jina la bandia la mwandishi wa Kisudani wa Global Voices anayeishi nchini Malaysia. Blogu yake yenye kejeli The Sudanese Thinker [2] imeandikwa na BBC [3], USA Today [4] na Reuters [5]. Katika mahojiano haya ya dakika kumi tunajadili jinsi uanahabari wa kijamii unavyoathiri Uislamu, mgogoro wa dafur, na masuala ya nafsi ya Uafrika-Uarabu katika Asia ya Kusini Mashariki.
Podikasti: sikiliza katika dirisha jingine [6] | Pakua