- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Je, China Iliharibu Makubaliano ya Copenhagen?

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Mahusiano ya Kimataifa, Mazingira, Siasa

Uln alijaribu kuchambua [1] ni nini kilichotokea Copenhagen na kuhoji kwa nini nchi zinazoendelea hazikusaini baina yao wenyewe makubaliano ya kupunguza utokaji wa gesi ya ukaa. Inside-Out China ametafsiri taarifa inayosimulia habari kutoka kwa walio ndani kuhusu mienendo ya Wen Jiabao [2] kule Copenhagen.