- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Israel: Kublogu Kwa Ajili Ya Mazingira Nchini Jordan

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Israel, Jordan, Palestina, Harakati za Mtandaoni, Mazingira, Teknolojia

“Wanamazingira na Waandishi kutoka Palestina, Jordan na Israel watakutana huko Madaba, Jordan mwezi huu kwa ajili ya warsha ya siku 2: “Kublogu kwa Ajili ya Mazingira” tarehe 20-21 Desemba,” anaandika Muisrael Green Prophet, kwenye Mideast Youth [1].