- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: Maandamano Tehran

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Siasa, Utawala

Hii ni video inayoonyesha [1] waandamanaji huko Manzarieh na Nyavaran mjini tehran wakiimba kauli mbiu dhidi ya utawala wa Kiislamu Jumamosi.