- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Ghana: Fikra Juu ya Mkosi Unaoyanyemelea Mafuta

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ghana, Mazingira, Siasa, Uchumi na Biashara

Fikra Juu ya Mkosi Unaoyanyemelea Mafuta [1]: “kwa dibaji, Ninasema kuwa ninaamini katika haki za mali (ardhi na majengo), serikali yenye mipaka pamoja na mipango huru, japokuwa ni lazima niseme kuwa si rahisi kuidhibiti mikataba ya mafuta, hasa pale haki za mali (ardhi na majengo) zinapohusika.”