- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China na Iran: #CN4Iran

Mada za Habari: Asia Mashariki, Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, China, Iran, Maandamano, Siasa, Teknolojia

Jana, maelfu ya Wa-Irani waliingia mitaani ili kupinga dhidi ya utawala wa kiimla. Maandamano hayo yaliwakumbusha watu wa China juu ya vuguvugu la demokrasi la Tiananmen la 1989 na watumiaji wa Ki-China wa twita wanatumia alama ya #cn4iran [1] ili kuonyesha mshikamano na wenzao wa Irani.