Barbados, Trinidad & Tobago:Plastiki na Uchafuzi wa Mazingira
Imeandikwa naJanine Mendes-Franco
Imetafsiriwa naj nambiza tungaraza
Tafsiri
“Fanya matembezi kwenye pwani yoyote nchini Barbados – na utaona uchafu wa plastiki uliosukumwa ufukweni”: Barbados Free Press anauliza kama uuzaji wa chupa za plastiki za maji uwekewe vikwazo, wakati Mtrinidadi Keith Francis pia anaguswa na suala la uchafuzi wa mazingira kwa plastiki ulimwenguni.
Habari Kuu Duniani
Umuhimu wa Hisabati katika Elimu
Amerika Kusini 8 Juni 2014
Sitisha majibu
1 maoni