- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Uganda: Ugonjwa wa Panzi Waota Mizizi

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Uganda, Historia, Siasa

Wanasiasa wa Uganda wanakuwa kama panzi [1]: “kufuatia hali ya kufikia kikomo kwa tawala nyingi za kiimla, Museveni na washirika wake katika ukaliaji wa mabavu wa Buganda kwa kutumia silaha wanaanza kuwa kama panzi.”