- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Palestina: Mtaa wa Twita

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Palestina, Mawazo, Teknolojia, Wakimbizi

Eman katika AquaCool anatoa maoni kuhusu mtaa wa kwanza kupata jina linalotokana na huduma ya Twita [1], katika kambi ya wakambizi huko ukingo wa Magharibi.