- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Pakistani: Katika Vita

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Pakistan, Haki za Binadamu, Sheria, Utawala

Mohammad Malick anatoa maoni [1] juu ya shambulizi la kigaidi la hivi karibuni kwenye soko la watu wa tabaka chini na la kati huko Peshawar: “limeonyesha kuwa hii ni vita ambyo magaidi wanasimama upande mmoja wa mstari wa damu, na sisi wananchi upande mwingine.”